Huu sasa ndiyo uchambuzi.Kama mpira ni uchawi basi tuseme yanga bye bye
Lakini Kama sio uchawi ni uwezo wa timu na tastics za makocha
Basi hii mechi ya yanga vs al hilal bado ngumu saana tena saana
Kama ulicheki ile mechi ya kwanza vizuri yanga inaonyesha ina washambuliaji wazuri zaidi ya al hilal na uku ikiwa yanga al hilal watatumia mpira wa kushambulia yanga zaidi kuliko kuzuia hakika watatolewa
Kama watazuia na kutumia ma contre attacking itakuwa vigumu kwa yanga kupata matokeo
Ila wakitumia hii tastic ya kuweka viungo wengi katikati na kuzalisha ma shoot ya mbali hawa al hilal wanaweza kutolewa
Ila ni macho yetu
Hi ni jumapili au jumamos ? Mbna unatuchanganya mzee !!!Umeandika vizuri ila Mpira wa Africa hauko Kama ulivyoandika hapa.Mara nyingi mashindano ya kiafrika kila mtu anashinda kwake.Ni ngumu kupindua meza ugenini,labda tu uwe mzembe na kudharau mechi km ile Simba na Galaxy.
Hawa Al hilal hawajaidharau hii gemu yao na yanga.Ibenge anajua yanga Ni hatari na watakuja na nguvu zote maana hawana Cha kupoteza,kwao (yanga) ili wafuzu lazima waweke mpira wavuni.Suluhu ya 0-0 yanga anatoka,so yanga wataenda na mentality ya kutafuta goli,na hapo ibenge ndipo atakapowaadhibu
Kwangu mimi,hata yanga angeshinda moja bill,bado kazi ingekuwa ni nzito Sana kule Khartoum,sembuse matokeo ya 1-1. Wacha tusubiri hiyo jumapili!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Game jumapili mkuu,mimi naanza leo kuwasikitikia YangaHi ni jumapili au jumamos ? Mbna unatuchanganya mzee !!!
Huu sasa ndiyo uchambuzi.
Fuatilia na rekodi za al hilal kwenye game zake 42 ilikuwaje!?Yanga hii naiamini 42 unbeaten games bado inatubeba sana
Kazi kubwa tuwaachie benchi la ufundi
Yanga watumie Video ya game iliopita kujikosoa makosa na mapungufu tuliyokua nayo
Wale ni wepesi sana kwetu kama hawatafanya figisu naiona Yanga yangu hiyooo katika makundi
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
ila ni macho yetu😓Kama mpira ni uchawi basi tuseme Yanga bye bye, lakini Kama siyo uchawi ni uwezo wa timu na mbinu za makocha basi hii mechi ya Yanga dhidi ya Al Hilal bado ngumu sana tena sana.
Kama uliangalia ile mechi ya kwanza vizuri Yanga inaonyesha ina washambuliaji wazuri zaidi ya Al Hilal na huku ikiwa Yanga Al Hilal watatumia mpira wa kushambulia Yanga zaidi kuliko kuzuia hakika watatolewa.
Kama watazuia na kutumia ma contre attacking itakuwa vigumu kwa Yanga kupata matokeo. Ila wakitumia hii mbinu ya kuweka viungo wengi katikati na kuzalisha ma shuti ya mbali hawa Al Hilal wanaweza kutolewa.
Ila ni macho yetu!
Mkuu huoni kama kuna haja ya kupumzika sasa na kusubiri game ipigwe?Kama mpira ni uchawi basi tuseme Yanga bye bye, lakini Kama siyo uchawi ni uwezo wa timu na mbinu za makocha basi hii mechi ya Yanga dhidi ya Al Hilal bado ngumu sana tena sana.
Kama uliangalia ile mechi ya kwanza vizuri Yanga inaonyesha ina washambuliaji wazuri zaidi ya Al Hilal na huku ikiwa Yanga Al Hilal watatumia mpira wa kushambulia Yanga zaidi kuliko kuzuia hakika watatolewa.
Kama watazuia na kutumia ma contre attacking itakuwa vigumu kwa Yanga kupata matokeo. Ila wakitumia hii mbinu ya kuweka viungo wengi katikati na kuzalisha ma shuti ya mbali hawa Al Hilal wanaweza kutolewa.
Ila ni macho yetu!
Yanga atawashangaza
Yanga anaenda kupindua meza
Yanga ana wachezaji Bora kuliko Al hilal
Yanga..... Al hilal
Yanga ....... Al hilal
Ni kwa sababu mchambuzi amechambua kitaalam! Na siyo kishabiki kama wafanyavyo baadhi ya mbumbumbu.Kwa kuwa umekufurahisha,hakuna namna ambayo utopolo anaweza kuepuka kipigo cha mbwa koko
Game la Simba Ni sku gan Sasa ?Game jumapili mkuu,mimi naanza leo kuwasikitikia Yanga