Hii nguo ya jokate sio

Huyu binamu yako kazidi hahaha. Now yupo kibamba anatafuta umbea mwee. Binamu warumi una undugu na shakoor jongo au ndo role model wako?? hahaha

Shakoor jongo cha mtoto, kuna mussa mateja huyo ni nyoko, asisikie tukio na piki piki yake, sema wenzangu wana vitendea kazi, wakisikia tukio sehemu wanatoka mbio na piki piki zao, yani izo zipo specila kwa ajili ya udaku, shigongo ni nyokoo
 
Last edited by a moderator:
Mapaja hata kuku anayo...

Hajapendeza na kawa kama msela mavi



If u know nothing about fashions hizi vitu zitakupa tabu sana
Joketi ni mwanamitindo mnachoshangaa haswa haswa hapo nini? Mapaja wazi?
 
Lucy nae kaanza kumchokonoa mbuta nanga , kesho nakuja na umbeq kamili, subir, yani huyu muke ya muzungu tutakoma mwaka huu

Hahahahah mbutananga na lucy heri lucy walahiii

Ila ninachompendea mbutananga anajiamini hata kama mwili wake haukubali nguo
 
Shakoor jongo cha mtoto, kuna mussa mateja huyo ni nyoko, asisikie tukio na piki piki yake, sema wenzangu wana vitendea kazi, wakisikia tukio sehemu wanatoka mbio na piki piki zao, yani izo zipo specila kwa ajili ya udaku, shigongo ni nyokoo

Hahaha binamu ukitaka umbea sharti uwe na vitendea kazi jamani
 
Halaf eti kuanzia leo blog ya sinta imetutenganishaa aisee wanaume marioo hua wanashidaaaa

yaani na bado alichambwa na wengine
mshenzy kweli yule yaani kule kuna NDITO,ROSILISIOUS,MTABIRI WA HALI YA HEWA NA MSUKULE WA SINTAH
yaani hao ni shiiida!
 
Sema hapo sio bongo kama picha ya S.A.Akikua ataacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…