Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huko Maswala hali ni tete kweli!Kibaha vijijini, hatua chache kutoka kwenye Dar es salaam, sijui huko Kazuramimba hali ikoje sasa.
Sio porini? Hamna simba? Polisi wetu wangeweza kuliwa aseee.....hili limeniumiza sana
Baadae utakuta wameandika hawamdai, hapo wahusika ni wapole kama vile wamemwagiwa majiGari ya Polisi iliyokuwa kwenye msafara wa Naibu Waziri wa Mawasiliano na teknolojia ya Habari, Marryprisca Mahundi ikiwa inanasuliwa baada ya kukwama kwenye tope katika kijiji cha Kimala Misale Kata ya Dutumi wilaya ya Kibaha Vijijini, mkoani Pwani kutokana na ubovu wa barabara.
View attachment 3343263
Ni muda sasa tunahitaji mabadiliko Kwa gharama yoyote.Gari ya Polisi iliyokuwa kwenye msafara wa Naibu Waziri wa Mawasiliano na teknolojia ya Habari, Marryprisca Mahundi ikiwa inanasuliwa baada ya kukwama kwenye tope katika kijiji cha Kimala Misale Kata ya Dutumi wilaya ya Kibaha Vijijini, mkoani Pwani kutokana na ubovu wa barabara.
View attachment 3343263