HahahahaNi TV na Radio za mzaramo
Maoni yakifanyiwa kazi maana yake ni msimamo wa kituo.nadhan hayo yalikuwa maoni ya watangazaji binafsi na si msimamamo wa kampuni
Mkuu hayo maelezo yako yanaukweli wowote maana yule binti ninampango wa kumjumlisha kwenye ratiba yangu hivi karibuni.Dulla Planet ana mpango wa kumwoa ZABIBU KIBA, S O ANAHAKIKISHA Anamfurahisha KIBA Kwa nguvu zote