Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
HahahahahHuyo Aliyekunya yupo humu jf? Kama hayupo post yako haina mashiko na itakuwa wewe muhaya.
Umeitwa??Haya mambo yakumalizana hukohuko kitaa.! umeshindwa kutoa elimu kwa watu unaoishi nao unakuja kutuchefua wanajukwaa, ovyosana!
Ungebandika tangazo kwenye hicho choo chenu cha shule ingewasaidia.Kuna vitu vingine ni vya aibu sana mtu mzima ukivifanya utaibika.
Leo nimeenda chooni huku chuoni kwetu basi bhaana kuna mtu kajisaidia haja kubwa yananuka ile kisela lakini hajaaflash wala nini na mbaya zaidi vyoo vyenyewe ndo vile vya kukaa.
Nimesikia kinyaa kisheenzi hapa nilipo mpaka tumbo linaniuma kwa harufu kali nilioipata
Jamani jitahidini usafi,ukinya safisha choo vizuri utaaibika ugenini maana mazoea hujenga tabia
Mkuu nimeleta huku ili mnisaidie kuwakanyaUngebandika tangazo kwenye hicho choo chenu cha shule ingewasaidia.
Humu jf ndio chuoni kwenu?Mkuu nimeleta huku ili mnisaidie kuwakanya
Kwahio unatuambia malekchara wako hawajui kutumia vyoo? Kwani mna share vyoo na lecturers?!Kuna ma lekchara wapo humu nawajua
Wanafunzi ndio wanachafua vyoo sio malekcharaaKwahio unatuambia malekchara wako hawajui kutumia vyoo? Kwani mna share vyoo na lecturers?!