Mkuu vunga basi mm nilikuwa nakukumbusha tu maana waongo husahau maneno yao ya awali.unajuaje kama anayefuta thread ni paw?
Ukisikia umbea ndio huo
Hiyo picha imefata nini hapo?Mkuu vunga basi mm nilikuwa nakukumbusha tu maana waongo husahau maneno yao ya awali.
Sijui mkuu.Hiyo picha imefata nini hapo?
Kinyesi nacho ni chakula mkuu
Nimeshindwa kula ice cream yangu baada ya kuona hiyo picha...mtu unaingiaje chooni kupiga picha mavi?!
Bora hata maneno kuliko hii picha iliyowekwa choo kichafu
Tulia weweMpuuzisana! yeye anaona sifa kumbe heshima yake inashuka