Hii ni aibu kubwa sana kwa Harmonize

Yule mmakonde naye kavu sana, sasa mpaka KY Jerry jaacha ndani ameshindwa jutupa kwenye dustbin?
Naona hii ni mara ya pili unakomenti KY, alikuwa anaitumia kukufiria wewe. Wachagga hawakupelekei moto wa kutosha??
 
Kama kweli Harmonize kafanya huonujinga wa kitoto anastahili kulaumiwa, sio kumtetea mnazidi kumdumaza akili ajione star mchafu, ana mdomo ajitetee mwenyewe.
 
Nawapenda waimba singeli hawana drama hao.....
 
I have a better life than ya huyo harmo mayb alichonizid ni Ustar tu nothing else na Siwez kuwa na Wivu kwa ndezi Kama yeye bora niwe na Wivu na bill gate naweza kujfunza kitu kuliko huyo Kik Digger

Mbona wapoteza mda kumjibu huyu mtu hajielewi
 
We Kodi yako ya pango shilingi ngapi?wabongo kwa kupenda kufatilia mambo ya watu,
Kijana wa darasa la saba,kwa hapo alipofika kwa kipato chake,anastahili sifa,sio kupondwa,brand lazima ijengwe,ipambwe,hata kwa misifa,we unajua terms za yeye kupanga nyumba?na Hilo kimba walilolikuta halijaflashiwa chooni,umeahuaje ni la konde boy?Ulikuwepo?
Wapeni vijana ushauri,sio kuwaponda,
 
Umeandika kimbea mbea alafu kumbe ni mwanaume aise...!!! Mbona unajizba sana mkuu? Acha kifatilia maisha ya wanaume wenzio mzee
 
I have a better life than ya huyo harmo mayb alichonizid ni Ustar tu nothing else na Siwez kuwa na Wivu kwa ndezi Kama yeye bora niwe na Wivu na bill gate naweza kujfunza kitu kuliko huyo Kik Digger
🤣🤣🤣 ni zaidi ya hallucination
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zaitakua na ukweli...

Mara nyingine ni dharau tu sii kwamba mtu pesa hana...
 
Aliwahi kusema aliuza nyumba zake mbili ili awalipe wasafi pesa ya kuvunja mkataba, nahisi ndo sababu mpaka leo yupo nyumba ya kupanga
 
Umeandika kimbea mbea alafu kumbe ni mwanaume aise...!!! Mbona unajizba sana mkuu? Acha kifatilia maisha ya wanaume wenzio mzee
Natangaza rasmi,
Mtoa mada sio mwenzetu Tena.

Tayar ameshatutoka.

Bwana ametoa, bwana ametwaa
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.

Aaamen
 
Unapangisha nyumba fully furnished hapa bongo?[emoji23][emoji23][emoji23] Hayo mambo yanawezekana huko mbelez na kwa baadhi ya watu tu hapa mjini, otherwise mpe mtu jumba, atajua mwenyewe kama kulala chini au godoro ama kitanda kabisa. Ila jiandae kurekebisha vitasa kila baada ya miezi kadhaa.

Akili zetu sijui nani alizifanyia programming!
 
Yule mzee mwenye nyumba ni mstaarabu sana...kasema anaweza hata kumsamehe deni lakin anataka aheshimiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…