Hii ni aibu kubwa sana kwa Harmonize

Uko sahii, biashara ya fully furnished ni biashara kichaa kwa nchi zetu za Dunia ya tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani sijui ila ndo tulishaamua na si rahisi kuondoa furniture na vitanda na vyombo kwenye nyumba. so sad.
 
Kweli bro hawa Watoto wa JF hawawezi Kuelewa Yule mzee anavyojiskia wao ni kuweka Ushabiki mbele bila kutumia Akili
Tumejifunza. Karibu Dodoma ila ujue hutapikiwa chakula mpaka utoe order. Utalala kwa raha zako ila hutapanga bali B and B basi.
 
Kwa hiyo mwenye nyumba mpaka leo haja flash choo au? kweli mpangaji wako anaweza kuondoka katika nyumba yako bila kulipa stahiki zote mimi najuwa Tanzania umekodi nyumba au chumba unalipa in advance sijawahi kusikia mtu analipa baada ya kukaa unalipa kabla hujakaa kwa bahati siku hizi wamepunguza miezi 6 advance siku za nyuma ilikuwa mwaka. hii story haijakaa sawa na tuseme kuna ukweli alikwenda kumshitaki kwenye mamlaka husika? kwa ufupi kitu kikubwa kwa Tanzania yetu hakuna sehemu utakodi usilipe advance hakuna kitu nakaa nitakuja kulipa. Mimi na nyumba nimekodisha watu kila mwazo wa mwaka wanalipa kodi ya mwaka mzima hatusumbuani tena hili la leo ndio kwanza nasikia mtu anakaa hajalipa. Harmo naye mjinga kama na vielelezo vyote vya mkataba nawapeleka mahakamani hawa wote kwa kumchafua mtu mpe wakili vielelezo vyote mwambie utakacholipwa chukuwa mimi sitaki kitu, utaona shughuli.
 
Nina hamu ya kukutooooo..... Kutoa out (🤣🤣🤣🤣 hahahah)
Ila Duniani mnateseka sana.

Bora si msikilize hata Dizasta vina,songa,p mawenge, Nacha,fid-Q, killer n.k
Mbona wapo wengi tu kazi kusikiliza eti nina hamu ya kutooo....
 
Aisee!
 
Kama ni kweli atakuwa anamakosa
ILA sijapenda ulivyo andika kwani umeandika KUMDHALILISHA na sio kumkumbusha tu kuwa yeye ni msanii hivyo ni kioo cha jamii
Kuhusu kuwa na Nyumba naamini atakuwa nazo ila kwa sasa anahitaji kuwa kwenye nyumba ya hadhi yake ambayo bado hajaimiliki, hivyo tusimuhukumu kwa hilo ni suala la muda tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…