Mavipunda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 7,072
- 7,891
Leo siku ya tatu tunasubiria passport ya ndugu yetu ambae ni mgonjwa.Alitakiwa kuwa India tokea juzi lakini tunaambiwa hakuna passport zinazochapishwa kwa sababu ya kukosekana umeme pale kwenye jengo lao Kurasini.
Tunakubali hitilafu za umeme ni za kawaida lakini kweli sehemu nyeti kama ile inakosa hata standby GENERATOR?
Tulipata tetesi eti tatizo hawana mafuta ya ku run generator ni Jambo la kushangaza na kutia aibu.
Tunaomba serikali ifuatilie kuna Jambo halipo sawa pale Uhamiaji.