Hii ni aibu kwa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi.

Hii ni aibu kwa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi.

MWL MTZ

Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
39
Reaction score
2
kwa tetesi nilizozipata kutoka chanzo kimoja ni kwamba matokeo ya mitihani ya darasa la saba na form 4 ya mwaka huu yanayotegemewa kutoka hv karibuni ni kwamba kiwango cha ufaulu kimeshuka tena.hivi wizara haijui kwanini wanafunzi wanafeli?kwanini kila mwaka tulalamikie hili?
 
tetesi hazina tofauti na khali halisi kaka, zimetoka jikoni tusubili tu,
 
Tumethubutu, Tumeweza, Tunazidi Kusonga Mbele!

Unalo swali? Uliza!
 
Wataya-standardize ili kuepuka aibu wewe.

nani amekuambia watayatoa jinsi yalivyo? Kwa taarifa yako shule za kata zitaonyesha ufaulu wa hali ya juu, ili kuwakata ng'ebe CDM.
 
Tatizo mitoto ya siku hizi akili ni maji.
 
Back
Top Bottom