kwa tetesi nilizozipata kutoka chanzo kimoja ni kwamba matokeo ya mitihani ya darasa la saba na form 4 ya mwaka huu yanayotegemewa kutoka hv karibuni ni kwamba kiwango cha ufaulu kimeshuka tena.hivi wizara haijui kwanini wanafunzi wanafeli?kwanini kila mwaka tulalamikie hili?