bado sjaamini kama ni ugonjwa na kama ni ugonjwa ni aina gani ya ugonjwa ,utakuta watu asa vijana wale wanao rap (kufokafoka) kila mala wanashika sehemu zao na hii nikwa wavulana kwani sijaliona kwa wasichana! watalamu naomba mniambie je huu ni ugonjwa gani?au ndo kati ya yale magonjwa ya kitabia?