Pawaga
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,349
- 1,011
*Kuna aina mpya ya pilau imeingia, inaitwa pilau makinikia maana yake nyama unazitafuta kwa mbali sana na wakati mwingine usiambulie kabisa, chondechonde wenye mpango wa kutualika kwenye idd msitumie aina hiii.* [emoji16][emoji16][emoji12][emoji85][emoji12][emoji12][emoji12][emoji500][emoji23][emoji23][emoji23]