Hii ni awamu ya exaggeration for political gains ambayo ni unprecedented!

Hii ni awamu ya exaggeration for political gains ambayo ni unprecedented!

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Msipotambua ukweli kwa hakika mtapata tabu sana.

1.Ni katika awamu hii tumeambiwa makinikia yetu yana thamani ya matrilioni

2.Kama haitoshi,ni watu awamu hii wakatuambia Acacia tunawadai kodi ya matrilioni kutokana na wao kukwepa kodi(sijui tumelipwa!)

3.Ni katika awamu hii tuliambiwa TRA inavuka malengo ya makusanyo kumbe hela zingine wanazikusanya kama mawakala tu na sio zao(kwa mujibu wa CAG)

4.Ni katika awamu hii tunaambiwa Dodoma imekidhi vigezo vya kuwa jiji.

5.Na ni katika awamu hii tunaambiwa Jiji la Dodoma limezidi majiji yote kwa mapato.

6.Ni katika awamu hii tunasikia shule za serikali zimeanza kuongoza katika mitihani ya kitaifa.

7.Ni katika awamu hii tunaambiwa nidhamu ya watumishi imeongezeka

8.Ni katika awamu hii matumizi ya fedha za umma tunaambiwa yamebanwa( hizi chaguzi sijui zinatumia maji).

9.Ni katika awamu hii tunaambiwa kuna viwanda zaidi ya 3000 vimejengwa hapa nchini.

10.Ni katika awamu hii tunagharamia miradi mikubwa ya matrilioni/mabilioni kwa kutumia fedha zetu za ndani.

Mengine utaongezea mimi kichwa kinauma.
 
Salary slip jiandae kujiunga ACT wazalendo, cdm ipo kaburuni, chepe la kufukia kaburi ni 2020. Over
 
Back
Top Bottom