Kuna jamaa mtaa alikua anatembea na magasho sasa kuna siku alikua na gasho moja analikamua lile gasho likawa linalia kwekwe kwekwe kwekwe watu wakasikia zile kelele na kuelewa mchezo wakaanza kumuita Ali Kwekwe basi hadi leo jamaa tunamuita Ali Kwekwe .