Hii ni balaa

Hii ni balaa

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,741
kama mijini ndiyo hivi vipi vijijini.....
 

Attachments

  • Maji qe.jpg
    Maji qe.jpg
    22.4 KB · Views: 590
poleni sana kwa kweli..
likini napenda kusema afadhali kijijini twa chimba visima vyetu wenyewe...
hatusubiri maji ya mgao...
 
Maisha bora kwa kila mtanzania.

Rasilimali tele, vyanzo vya maji, tunashindwa kuwaletea watu maji.. Hakuna amani manyumbani kwa hiyo hakuna amani TZ.
 
Ehh kweli,bilioni 94 sizingetosha kutatua hilo tatizo jamani pengine na kubaki?Hakuna kukata tamaa,ni kukataa hayo na kupambana tuwe na maisha tofauti na hayo.
 
bilion 94 zineweza kutatua shida hii' si kweli kwani kuna mabilion mangapi wanayo hawa viongozi zaidi ya haya, na shida iko pale pale, uongozi bora unatoka kwa mungu hawa viongozi hawajali shida za wananchi wao ni kujinufaisha wao na watoto wao tu. uwezo wa kuongoza kwa mwafrika bado saaana
 
Maji si kipaumbele katika serikali hii,safari za nje, mashangingi ya mawaziri na posho nene ndio zenye priority ya kwanza
 
na hao maji yenyewe ni ya kisima ambacho mara zote huwa vina contaminate na maji taka, ni usugu tu wa watu otherwise matumbo ya kuhara yasingeisha
 
Hii hali iendelee kuwa hivi tu,maana wengine ndio huwa tunajipatia mabinti wa kutupunguzia stress za maisha na hata akichelewa kurudi kwao hamna maswali,si alikuwa anasubiri foleni ya maji.
 
bilion 94 zineweza kutatua shida hii' si kweli kwani kuna mabilion mangapi wanayo hawa viongozi zaidi ya haya, na shida iko pale pale, uongozi bora unatoka kwa mungu hawa viongozi hawajali shida za wananchi wao ni kujinufaisha wao na watoto wao tu. uwezo wa kuongoza kwa mwafrika bado saaana

Nani kukudanganya? Fikiria tena kisha uedit hiyo post mkuu!
 
Hii ni changamoto kwa wabunge na mawaziri wa jk!lakini pia ni changamoto kwetu sisi raia
mana kwa maisha ya sasa kila kiongozi anataka kujilimbikizia mali!
 
Hayo ni maandalizi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru.
 
Afadhali iwe matumbo ya kuhara yanayotibika, je na heavy metals kama mercury, arsenic n.k?! Madhara yake ni makubwa kuliko tunavyoweza kufikiri, Wadanganyika hii ndiyo Jehanamu yetu.
 
Back
Top Bottom