MIGUGO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,137 Reaction score 3,931 Jul 8, 2020 #1 Miaka takriban minne bei ya viatu vya kiume vya dukani hasa brand ya Clark vimekuwa vikiuzwa sh.120,000-150,000 ya kitanzania. Je, huko wananunua kwa kiasi gani cha pesa? Hebu mliotembea tuambieni.
Miaka takriban minne bei ya viatu vya kiume vya dukani hasa brand ya Clark vimekuwa vikiuzwa sh.120,000-150,000 ya kitanzania. Je, huko wananunua kwa kiasi gani cha pesa? Hebu mliotembea tuambieni.
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 Jul 9, 2020 #2 Hata mimi najiuliza.
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Jul 9, 2020 #3 Kwa bei hiyo bado ni rahisi ukilinganisha na nje
mahingah Senior Member Joined Oct 4, 2016 Posts 198 Reaction score 275 Jul 9, 2020 #4 Sijui kwa nini vitu vyetu vya kiume bei kubwa sana
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jul 9, 2020 #5 Hizo ni za kichina.. Clark OG zinaenda mpaka dollar elfu Jr[emoji769]
U uncle JF-Expert Member Joined Dec 10, 2007 Posts 325 Reaction score 184 Jul 9, 2020 #6 Clarks original brand ni mkataba haswa . Utavaa mpaka unaviacha
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Jul 9, 2020 #7 Jionee! Mzigo huo hapa! Mwenzangu na mie twende tu KARUME au KROKRON!
ZINDAGI JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 1,118 Reaction score 1,430 Jul 9, 2020 #8 Nadhani feki hicho, Clatk bei inaanza 300,000
MIGUGO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,137 Reaction score 3,931 Jul 9, 2020 Thread starter #9 Sawa ni vya kichina ila bei haiendani na kiatu. Mshana Jr said: Hizo ni za kichina.. Clark OG zinaenda mpaka dollar elfu Jr[emoji769] Click to expand...
Sawa ni vya kichina ila bei haiendani na kiatu. Mshana Jr said: Hizo ni za kichina.. Clark OG zinaenda mpaka dollar elfu Jr[emoji769] Click to expand...
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,735 Reaction score 8,541 Jul 9, 2020 #10 Viatu vya wanaotembea kwa matairi manne. Wenzangu na mie twende Krokoni na Samunge au tusubirie soko la Mbauda.
Viatu vya wanaotembea kwa matairi manne. Wenzangu na mie twende Krokoni na Samunge au tusubirie soko la Mbauda.
MIGUGO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,137 Reaction score 3,931 Jul 15, 2020 Thread starter #11 Shida sio kwamba watu hawawezi kuafford ila bei haiendani na quality ya kiatu.Yameshakuwa yebo yebo pia. Kirchhoff said: Viatu vya wanaotembea kwa matairi manne. Wenzangu na mie twende Krokoni na Samunge au tusubirie soko la mbauda. Click to expand...
Shida sio kwamba watu hawawezi kuafford ila bei haiendani na quality ya kiatu.Yameshakuwa yebo yebo pia. Kirchhoff said: Viatu vya wanaotembea kwa matairi manne. Wenzangu na mie twende Krokoni na Samunge au tusubirie soko la mbauda. Click to expand...
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 8,447 Reaction score 19,425 Jul 16, 2020 #12 mahingah said: Sijui kwa nini vitu vyetu vya kiume bei kubwa sana Click to expand... Si ukinunua leo unaweza nunua tena baada ya mwaka so mzunguko ni mdogo.
mahingah said: Sijui kwa nini vitu vyetu vya kiume bei kubwa sana Click to expand... Si ukinunua leo unaweza nunua tena baada ya mwaka so mzunguko ni mdogo.