Hii ni CCM toleo la 4 na la mwisho; hakuna CCM nyingine baada ya hii!

Mkuu vijana wa CCM siyo intellectual,ni mazezeta ya kutupwa, hawawezi kuielewa hii Topic,hebu fikiria walivyokuwa wakimwabudu Magufuli,wakasahau kwamba Magufuli ni mwanadamu anaweza kufa na kisha wakadhalilika,ndo kinachowatokea sasa hivi.
Laiti wangempenda MUNGU na siyo Magufuli leo hii wangekuwa wame relax,Biblia inasema mjue sana Mungu ili upate amani ya moyo,hawa wapumbavu kupindukia walimjua sana Magufuli na si MUNGU,leo kiko wapi?
Wako njia panda, they're paying the price,hawajui endapo waendelee kubakia CCM ,wakimbilie upinzani,au wajitoe CCM wabaki bila Chama.
Shetani hajawahi kuwa na rafiki,leo Mataga wamejaa vilio kila kona,walimsifu Magufuli wakitarajia vyeo as if Magufuli would have reigned forever.
Hawakujua kuwa lengo la Magufuli ni kuua upinzani hasa CHADEMA na kisha kugawa vyeo kwa wapinzani na siyo UVCCM as they have been expecting.
Duniani hapa,kosa vyote ila usikose akili.
UVCCM,Mataga ni zero Brain kupindukia., yaani wanaona only two meters ahead them...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Hawakujua kuwa lengo la Magufuli ni kuua upinzani hasa CHADEMA na kisha kugawa vyeo kwa wapinzani na siyo UVCCM as they have been expecting.
Duniani hapa,kosa vyote ila usikose akili.
UVCCM,Mataga ni zero Brain kupindukia., yaani wanaona only two meters ahead them...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1548][emoji817][emoji736][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kinachotofautisha porojo na uhalisia ni vithibitisho. Kama hauwezi kuthibitisha:

• Unufaika wangu kwenye mfumo

• Kupingwa au kuondolewa kwa wagombea licha ya kufuata kanuni kwa usahihi

• Ujambazi wa Mwanasisiem huko Tandika

• Mizizi na ushawishi wa waliohamia CCM kutoka CDM kiasi cha kupindua chama, n.k.

Unayoongea yote ni utopolo na stori za vijiweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…