hii ni dharau kubwa sana!

hii ni dharau kubwa sana!

dibk

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
424
Reaction score
365
jamani! kwa nn kikwete hawezi ata kuwa na huruma kwa watz japo kidogo? yaan matatizo ya kifedha yanalikabili taifa mpaka waziri wa fedha kashakiri, fedha ya PT kwa wafunzi wa vyuo haijapatikana mpaka sasa ni wiki ya nne toka waanze field, walim na madactari wapya mpaka leo hawajapata fedha wala hawajui watapata lini! pamoja na haya yote rais yeye anasafiri kwenda kujifungia ndan na obana kuongelea mambo yao ya siri yasiyokuwa na tija yoyote kwa watz! hiyo hela yote aliyoandaliwa kwenda kula bata na Obama/bushi kwa nn isingetumika kupunguza baadhi ya madai ya wanafunzi/walimu/madactari? kweli inakela jaman najuuuuuuuuuuuuuta kuwa na rais asiyejua matatizo ya taifa lake.:hail:
 
ndio kenda tembeza bakuli....akirudi mtacheka
 
Huyo ndio vasco dagama wa tz mkuu
 
Khaa!!! Wewe kipofu kwelikweli!! Billion ngapi zinatumika kuwalipa wabunge wa BJM??? Ngapi BMK??? Ngapi ruzuku za vyama vya siasa??? Ngapi kurusha chopa kwenda kupiga kampeni kule ambapo hakuna hata zahanati ndogo tu?? Ngapi mashangingi??.. ngapi??? Ungekuwa na macho mazima ungeanza kuhoji huku. BTW unajua alichoenda kufanya marekani?? Au unaongea tu
 
ww tafuta njia nyingne yakujikim ili maisha yaxonge,tatua tatzo lako maana kulaum hakutokusaidia kitu chochote ndugu yangu
 
Back
Top Bottom