jamani! kwa nn kikwete hawezi ata kuwa na huruma kwa watz japo kidogo? yaan matatizo ya kifedha yanalikabili taifa mpaka waziri wa fedha kashakiri, fedha ya PT kwa wafunzi wa vyuo haijapatikana mpaka sasa ni wiki ya nne toka waanze field, walim na madactari wapya mpaka leo hawajapata fedha wala hawajui watapata lini! pamoja na haya yote rais yeye anasafiri kwenda kujifungia ndan na obana kuongelea mambo yao ya siri yasiyokuwa na tija yoyote kwa watz! hiyo hela yote aliyoandaliwa kwenda kula bata na Obama/bushi kwa nn isingetumika kupunguza baadhi ya madai ya wanafunzi/walimu/madactari? kweli inakela jaman najuuuuuuuuuuuuuta kuwa na rais asiyejua matatizo ya taifa lake.:hail: