DellaPina JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 1,011 Reaction score 3,471 Oct 20, 2016 #21 shunie said: arsenal ata sishangai mwishoni mnasua sua mbona hiyo kuongoza mwanzo wa ligi ni kawaida yenu tu Click to expand... Arsenal ni kama ngoma ya watoto tu, na ndiyo maana nyimbo zao zote zinafanana[emoji1][emoji1]
shunie said: arsenal ata sishangai mwishoni mnasua sua mbona hiyo kuongoza mwanzo wa ligi ni kawaida yenu tu Click to expand... Arsenal ni kama ngoma ya watoto tu, na ndiyo maana nyimbo zao zote zinafanana[emoji1][emoji1]
New City JF-Expert Member Joined Apr 17, 2014 Posts 2,880 Reaction score 3,794 Oct 21, 2016 #22 PNC 1 said: kama vyura fc[emoji196] [emoji196] wazee wa kukodishwa Click to expand... Hahaaaaa ..!! Mchangani fc,wazee wa ndondo cup. Jitahidini mwaka 2018 mkang'oe viti vya bombadier q800.
PNC 1 said: kama vyura fc[emoji196] [emoji196] wazee wa kukodishwa Click to expand... Hahaaaaa ..!! Mchangani fc,wazee wa ndondo cup. Jitahidini mwaka 2018 mkang'oe viti vya bombadier q800.