Hii ni English Ya Mwanafunzi Bora Wa Form4

Joined
Jan 19, 2013
Posts
35
Reaction score
11
Hii ni English Ya Mwanafunzi Bora Wa Form4.. Akimwambia Mzungu Ugumu Wa Kupanda Mlima Kilimanjaro Sababu Haujanyooka Moja Kwa Moja:
SIR,TO PLANT MOUNT KILIMANJARO IS NOT A PRESIDENT JOB BECOZ IS NOT SNAKE ONE BY ONE..√
 
Kwa sababu mwanafunzi bora wa form four hawezi kuwa na English ya hivyo,nakushauri hii post si mbaya ,ni nzuri ila ulipoiweka si pake.Unaonaje ungekuwa umeiweka upande wa "jokes"?Ni hayo tu
 
Hata kama ingekuwa kweli hajui englisha inawezekana alikuwa PCB au PCM na English was just a distraction by the way anajua plant president na snake alafu asijue climb na straight
 
hiyo pcm kaanza nayo darasa la kwanza,pcm wanatumia kiswahili,ACHA KUKURUPUKA.
 
Physics = Mathematics hata definition ukijua formula unapata definition
Chemistry = Equations and balancing them hakuna blah blah (hata definition unakariri)
Mathematics = Pure Mathematics.... (need I say more)

Nashangaa tunabishana kitu ambacho ni make believe.., lakini fact ni kwamba you don't have to be fluent in English in perform in science subjects...., that's a fact.
 
Hii ni English Ya Mwanafunzi Bora Wa Form4.. Akimwambia Mzungu Ugumu Wa Kupanda Mlima Kilimanjaro Sababu Haujanyooka Moja Kwa Moja:
SIR,TO PLANT MOUNT KILIMANJARO IS NOT A PRESIDENT JOB BECOZ IS NOT SNAKE ONE BY ONE..√

Nice one 🙂

Unanikumbusha waliyomzushia Marehemu Kanumba na "Kind Sepetu"
 
Back
Top Bottom