Jonathan Manase
Member
- Jan 19, 2013
- 35
- 11
Kwa sababu mwanafunzi bora wa form four hawezi kuwa na English ya hivyo,nakushauri hii post si mbaya ,ni nzuri ila ulipoiweka si pake.Unaonaje ungekuwa umeiweka upande wa "jokes"?Ni hayo tu
Hata kama ingekuwa kweli hajui englisha inawezekana alikuwa PCB au PCM na English was just a distraction by the way anajua plant president na snake alafu asijue climb na straight
hiyo pcm kaanza nayo darasa la kwanza,pcm wanatumia kiswahili,ACHA KUKURUPUKA.
Chezea kata wewe.......
hata hivyo ni kichekesho cha zamani kidogo jamaa alikuwa hajawahi kukiskiacopy and paste kutoka Clouds FM - power breakfast ya juzi
Hii ni English Ya Mwanafunzi Bora Wa Form4.. Akimwambia Mzungu Ugumu Wa Kupanda Mlima Kilimanjaro Sababu Haujanyooka Moja Kwa Moja:
SIR,TO PLANT MOUNT KILIMANJARO IS NOT A PRESIDENT JOB BECOZ IS NOT SNAKE ONE BY ONE..√