Hii ni fashion au uchizi?

Hii ni fashion au uchizi?

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
10,963
Reaction score
13,287
716dd095bfafd10b9de628c7c3f819cf.jpg
 
Hizi zangu zikitoboka huwa naziacha.... Kumbe ndo zinaelekea kwenye new fashion....
 
Usishangae baada ya muda ukakuta vijana wetu hapa bongo nao wameiga,maana sisi tunapenda kuiga kila kitu hata kama cha kipuuzi ilimradi kimefanywa na wenzetu wa nchi zilizotutangulia.
 
Maskin ukivaa hvyo utaonekana chizi umetoroka milembe.ila tajir itaonekana fashion.ht dadamond anavaaga jinc imechanika
Mkuu taratibu unapo mtaja Diamond, utapata shida bure hapa, hakosolewi huyo.
 
hizi fasion zinakuna na historia nyuma yake lakini sisi tuna zivagaaga tu!
 
Back
Top Bottom