nyamalagala
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 744
- 673
Ukijiuliza akili za wanawake na mambo yao kwenye maisha utapasuka kichwa tu aiseee.Natumai wanajamvi mu wazima.Naona kuna mtindo umeenea sana kwa Dada zetu kuvaa magauni marefu.hii ni nzuri kwani badala ya kuvaa vimini,wamejithidi kuvaa nguo ndefu.Sasa tatizo ni huu mtindo wa kuvaa gauni refu kisha kuzinyanyua kwa mkono muda wote.sasa najiuliza hivi Dada zetu huwa hamjui saizi yenu mpaka mtembee mmezishikilia au mmekuwa bibi arusi? Tafuteni saizi bhana na sio zinazotimua vumbi.
Nawasilisha.
Weka pichaNatumai wanajamvi mu wazima,
Naona kuna mtindo umeenea sana kwa dada zetu kuvaa magauni marefu,hii ni nzuri kwani badala ya kuvaa vimini,wamejitahidi kuvaa nguo ndefu.Sasa tatizo ni huu mtindo wa kuvaa gauni refu kisha kuzinyanyua kwa mkono muda wote,sasa najiuliza hivi dada zetu huwa hamjui saizi yenu mpaka mtembee mmezishikilia au mmekuwa bibi harusi?
Tafuteni saizi bana na sio zinazotimua vumbi.
Nawasilisha.
Wengine huwa wakichoka kushikilia wanachomekea kwenye kyupi.Natumai wanajamvi mu wazima,