Hii ni Fashion Conscious Au?

Waulize ma MC wa kwenye harusi watakuambia wanapata wapi hivyo viatu !
 
Mimi sijui niugonjwa kwa mwenye akili iliyo kaa sawa kwenye tray yake huwezi kuvaa hivi!watu bwana!
 
mambo mengine jamani, mtu unatafuta attention kwa nguvu zote.
 
Nahisi ndo huyu namuona mara nyingi pale maeneo ya kinondoni morocco!!!hawa ma papaa fulani wanapenda sana sifa.Ila ndo burudani zenyewe hapa duniani........!!suruali kama ovaroli
 
Huyu jamaa ni miongoni mwa comedians wakujitolea(bila malipo)
 
mambo mengine jamani, mtu unatafuta attention kwa nguvu zote.

Suala la kutafuta attention sio la watu kama huyo jamaa peke yake.Siku hizi watu wengi huvaa kwa lengo ya kutafuta attention zaidi kuliko kujisitiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…