watu wanaovaa hivyo wako wengi sana Nkasi Sumbawanga mtu anashona suruali inafunika mpaka mfuko wa shati nadhani wanawaiga watu wa Congo DRS ingawa hawa naona wamepitiliza, na mtu kama huyo utakuta amejiajiri mwenyewe huwezi fanya kazi kwa mtu na mavazi kama hayo lazima utimuliwe siku hiyo hiyo