Hii ni first eleven yangu wa Vpl msimu huu ktk duru ya kwanza
1) Said mohamedi (MTIBWA)
2) R.kesi (SIMBA)
3) Kipobile (MBEYA CITY)
4) Isihaka (SIMBA)
5) Cannavaro (YANGA)
6) Mkude (SIMBA)/ Gaucho (C.UNION)
7) Simon msuva (YANGA)
8) Sure boy ( AZAM)
9) Atupele Green (Kagera)
10) Siame (MTIBWA)/ MAZANDA (MBEYA CITY)
11) Singano (SIMBA)
KOCHA MKUU : Meck Mexime (MTIBWA)
MSAIDIZI: Minziro (Ruvu)
MSEMAJI WA TIMU: Jemedali saidi (AZAM)
Wapi '"master pass'" Salumu Telela?, Wapi mtalaamu wa kupiga cross zilizoenda shule Deus Kaseke!!!! Umebugi sana na hicho kikosi chako.
Kpah sherman mbona hayupo?
6 games played 0goal scored!0 number of assist!
Jaja=sherman
Hii ni first eleven yangu wa Vpl msimu huu ktk duru ya kwanza
1) Said mohamedi (MTIBWA)
2) R.kesi (SIMBA)
3) Kipobile (MBEYA CITY)
4) Isihaka (SIMBA)
5) Cannavaro (YANGA)
6) Mkude (SIMBA)/ Gaucho (C.UNION)
7) Simon msuva (YANGA)
8) Sure boy ( AZAM)
9) Atupele Green (Kagera)
10) Ame Ally (MTIBWA)/ MAZANDA (MBEYA CITY)
11) Singano (SIMBA)
KOCHA MKUU : Meck Mexime (MTIBWA)
MSAIDIZI: Minziro (Ruvu)
MSEMAJI WA TIMU: Jemedali saidi (AZAM)
Si kikosi kibaya, wachezaji uliowataja wamejitahidi sana ukiondoa Gaucho....sio kiungo kabisa,pasi nusu nyingi sana, sikushangaa kutimuliwa Sofapaka. Anacheza mpira wa kupaka rangi upepo.
Rama Salim alistahili kuwemo.
Uliangalia game ya Yanga vs coastal?
Umeangalia game ngapi ambazo Gaucho kacheza vpl?
Hebu mcheki tena Leo akiwanyanyasa mikia fc
Nimemfuatilia Gaucho sana, na nilimuangalia kwenye mechi ya Jumatano. Bahati mbaya nilimuona Gaucho yule yule, anayepiga pasi nusu, pasi za kurudi nyuma na pembeni.
Gaucho anacheza mpira wa kina SureBoy na Mkude. Hawa wote hawakabi kwa nguvu wala kupiga pasi ndefu. Ukiwa na kina Sureboy, Mkude na Gaucho kwenye kiungo timu yako inapata shida kushambulia kwa kasi. Uchezaji wao hauleti penetration kwa adui kwa sababu pasi zao nyingi hazina madhara kwa adui.
Hata Jumatano ilikuwa hivyo, Coastal walimiliki mpira bila kutengeneza nafasi za wazi za kufunga.
Nipe Frank Domayo, Shaban Nditi au Kazimoto any day,
Mi napita tu