Hii ni haki kweli watanzania...!

khauka

Senior Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
100
Reaction score
4
Habar wana JF...
Kuna hii shule inaitwa Brain Trust Secondary School, P.O.Box 46152 Tel 0754574728 Dar.

Hii shule imeamua kuwatesa watanzania kwa kuamua kubadili mkataba ghafla tofauti na makubaliano ya mwanzo ya malipo ya ada kwa term na badala yake bila kukubaliana na wazazi wameamua kuanzisha utaratibu wa malipo ya mwaka mzima na kuwarudisha watoto wote majumbani. Je wizara ya Elimu wanarijua hili...?

Na ni mzazi gani analipwa mshahara wa mwaka mzima..? ilinae alipe ada ya mtoto ya mwaka. Naomba tusaidiane kulishuhulikia hili swala
 

Sijakuelewa kwani ni lazima mtoto/watoto wako wasome shule hiyoooooo??
 
Mbona kuna shule nyingi tu zinazolipisha kwa mwaka?

Tutaliingiza hili kwenye katiba mpya. Shule zote zilipiwe kila mwezi, na kodi za nyumba pia.

Haya furahi na usubiri katiba mpya na waache watoto wasubiri mpaka swala hili litakapotatuliwa.
 
Khaa!Kila kitu serikali ichunguze!!!Elimu ishakua bidhaa,unaweza kununua kama ukiweza,ukishindwa si lazima kulalama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…