Hii ni hatari eh?Taksi za Kibungo! tutafika jamani?

Hii ni hatari eh?Taksi za Kibungo! tutafika jamani?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Hii ni hatari eh? <hr style="color: rgb(227, 223, 181); background-color: rgb(227, 223, 181);" size="1"> <!-- / icon and title --> <!-- message -->
5251d1247199545-hii-ni-hatari-eh-pi.jpg

"Wanangu msijali tutafika tu"

ni kama ndivyo anavyofikiria mawazoni mwake jamaa huyu ambaye amewapakia
watoto saba katika pikipiki yake yeye akiwa mtu wa nane,
bila hata kujali kwamba anahatarisha maisha yao na yeye mwenyewe kwakweli hii ni
kali wadau hebu iangalieni na kuchangia maoni yenu.
<!-- / message --> <!-- sig --> __________________
 
I love you Africa, I love you my dear country Tanzania!!!
 
Back
Top Bottom