Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam,
Nimefatilia ziara ya Rais huko Katavi na Musoma kilio kikubwa cha wananchi ni maji safi na Salama. Kama taifa tumeongozwa na CCM kwa miaka 60+ na bado na hakuna uhakika wa kutatua tatizo hili ni sarakasi kila Leo. Ifike wakati CCM muwe na aibu mkiacha anasa za kununuliana ma V8 na mkaacha kulipana posho za kijinga mtatatua matatizo ya maji, miondombinu na huduma za afya.
Kwa kweli mnakera kila mwaka kuja na mahubiri yale yale kwamba tutawaletea maji safi, barabara na kujenga zahati ambazo hata zilizojengwa huduma Ni mbovu na dawa hakuna ni kujinunulia huku viongozi wa CCM wakiponda anasa Kwa magari ya kifahari na posho LUKUKI. Ifike wakati muwe na chembe ya huruma kwa TAIFA hili na sio kuwafanya wenye nchi mazombi.