Hii ni HYBRID ya Justin Bieber na 50 Cent..

Hii ni HYBRID ya Justin Bieber na 50 Cent..

236019724.jpg

duh!
 
nimesahau na fonbuku yangu waifu kaweka sekyuriti kodi. mPM mod mwambie atugaie japo ka first aid kit tumuwahi jamaa

first aid kit ya jf ina nyundo na kitabu sijui itamsaidiaje jamaa
 
first aid kit ya jf ina nyundo na kitabu sijui itamsaidiaje jamaa
halaf naona kapotea katika mazingira ya kutatanisha, sjui mgao wa tanesco au kaamua kulizima tu? hehehe hybrid wa 50 cent bana!
 
I HEARD THAT JUSTIN BIEBER FELL DOWN FROM A LADDER WHEN GOING FOR PUBERTY :laugh:
 
Back
Top Bottom