Hii ni kama hadithi kwa wengine, lakini ni hali halisi inayowatokea walimu wenzangu.

Hatari sana.mimi ni mwalimu ningeondoka kazi kitu gani kwenye uhai! Bora ileje mlale hawarogi kule wanapiga tu! Halafu yanaisha!
 
huko kyela si ndio kwa wainjilisti wa nchi hii.
 
Duh,katapika damu lita 10!Hii chibhoko....ebu wataalam mkuje muweke kumbukumbu sawa;BINADAMU ANA KIASI GANI CHA DAMU MWILINI MWAKE?
 
Duh,katapika damu lita 10!Hii chibhoko....ebu wataalam mkuje muweke kumbukumbu sawa;BINADAMU ANA KIASI GANI CHA DAMU MWILINI MWAKE?

Lita 5/6 kwa mtu mzima mwenye afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…