appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,262
- 2,184
kumekua na upotoshaaji mkubwa juu ya kua hii ni karne ya 21 wakati si kweli hii ni karne ya 20
sababu
karne moja ni sawa na miaka 100 yaani inabadilika baada ya miaka100
mwaka 1700 ilikua ni karne ya 17
mwaka 1800 ilkua ni karne ya 18 mwaka 1900 ilikua ni karne ya 19
na mwaka 2000 ilkua ni karne ya20
karne ya 21 itakua miaka ya2100 na sio miaka ya 2001 kama watu walivyoanza kuhesabukua ni karne ya 21 hii si kweli