Hii ni kawaida ama nina shida gani mimi?

Kuna nguvu za giza unazo/umepandkizwa bila kujijua.waliokupandikiza ndio wanatimiza matajwa yako unapokasirika.siku ukimkasirikia mtu mwenye nguvu zaidi ya ulizopandikizwa ndipo utajuta!
 
Kuna nguvu za giza unazo/umepandkizwa bila kujijua.waliokupandikiza ndio wanatimiza matajwa yako unapokasirika.siku ukimkasirikia mtu mwenye nguvu zaidi ya ulizopandikizwa ndipo utajuta!

me nakushaur ukafanyiwe maombi coz days is nt a coincidence
 
Every human has power in him, natural power, some has more and some has less, the issue is to know the power you have and how to use it. In life nothing is coincidence, everything has its meaning. Do you believe there are SUPER HUMAN? A person who has ability to do thing beyond normal. The thing is to use the power in a good way.

have question? Ask me.!!
 
ni pepo anakusumbua uwe mtu wa maombi na umrudie mungu kwa nini uwe ni mtu wa kukosanakosana khaaaa
 
Hapo namba 4, unadhani alidisco kwa ajiri yako? Acha utoto, hata huyo aliyekufa, we ulitaka afe lini? Au ulidhani ataishi milele?
 
Mimi ni mkristo na naenda kanisani kila Jumapili. Na sisubiri kuombewa kwani nimekua nikijiombea mwenyewe ili Mungu aniepushe na hali hii.

Kaka yangu hilo ni pepo; unahitaji kuwa derivered. Nimepata kusikia shuhuda kama zako. Uzuri wewe hupendi na umeshajitambua hivyo maombi ni muhimu.

Kuhusu kuombewa, kumbuka ni karama za roho mtakatifu tumepewa tofauti tofauti, so waweza seek help kwa wanamaombi au prayer warriors kutegemea na dhehebu lako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…