Hiyo haraka haraka unayoiongelea ni ipi maana umeshasema mwenyewe alishakukatalia mwaka umepita sasa!!
akili kichwani mwako
Hello jf!kuna galfried wangu wa zaman alinigunduaga kwamba nimemtongoza rafiki yake{ni kweli},bac ikatokea nkamuomba msamaha but mmanzi akachomoa,akashauri 2achane 2,nkawa kila nkimpgia cm au kumtext harespond,bac na me nkaamua kumpotezea.well umepita mwaka hadi sasa,leo mchana nimejarbu kumtafuta kwenye cm amepokea,2meongea fresh 2,nkamuomba msamaha kwa yalyotokea,nkamgusishia na kuhusu kurudiana nae,akanikubalia..hvi hi ni kawaida kwa wadada kusamehe na kurudiana haraka haraka na wapenz wao wa zaman au me napigwa changa la macho wakuu?

anakutega huyo ! Yawezekana ashakanyaga miwaya so anataka akukanyagishe na wewe! Usiingie kichwa kichwa. Tafakari kwanza then uchukue hatua!..
Nipo mpendwa! Mzima weye? Waelekea wapi na giza lote hili Husni?.. Naomba nikufuate jaman!

sweet upo? Hebu changia hii post kwa niaba yangu. Mi natoka.