chriss brown
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 292
- 63
hawa ngozi nyeupe Afrika ndio jalala lao la kuzitest bidhaa zao.Nalog off
jifunze kutumia umoja mana usiusemee moyo wa wenzio wakati juzi nimesoma gazetini mtu kapewa na mumewe laki mbili kaambiwa nikirudi uwe ushanunua dawa ya kichina la sivo tunaachana loh!Hivi dada zetu,mmeshaona kuwa na mabody makubwa aka mahipsi yakichina ndo tutawapenda sana?.Naomba samahani kwa wale waliozaliwa hivyo.naongelea hawa wakichina.Unakuta mtu alikuwa Miss baada ya kumaliza tu.Mtoto anapata figure nzuri mpaka unashangaa.Acheni dada zetu mtapata kansa za bure.Uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu.Ingawa napenda sana watoto wa hivyo.ila c wakichina.Badilikeni!..MTAPATA MADHARA BAADAE.
jifunze kutumia umoja mana usiusemee moyo wa wenzio wakati juzi nimesoma gazetini mtu kapewa na mumewe laki mbili kaambiwa nikirudi uwe ushanunua dawa ya kichina la sivo tunaachana loh!
asa ww unataka kuapply low gani hapa
Tofauti ya mchina na original ikoje?...................
mnataka kutuambia kwamba mwembamba akinenepa tu mchina
kama ndo hivo basi kazi ipo jamani.
Hivi dada zetu,mmeshaona kuwa na mabody makubwa aka mahipsi yakichina ndo tutawapenda sana?.Naomba samahani kwa wale waliozaliwa hivyo.naongelea hawa wakichina.Unakuta mtu alikuwa Miss baada ya kumaliza tu.Mtoto anapata figure nzuri mpaka unashangaa.Acheni dada zetu mtapata kansa za bure.Uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu.Ingawa napenda sana watoto wa hivyo.ila c wakichina.Badilikeni!..MTAPATA MADHARA BAADAE.