Hii ni kufuru!

Hii ni kufuru!

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
1,153
Reaction score
1,359
Inawezekana wewe hujui utakula nini leo, lakinimwenzako Franck Ribery msukuma ndinga wa timu ya Bayern Munich ameonekana akila nyama iliyopakwa dhahabu (gold coated meat) kwenye mgahawa maarufu huko Dubai.

Siku za karibuni wachezaji mbalimbali waneonekana wakila nyama za kuchoma kwenye huo mgahawa unaomilikiwa na bwana mmoja raia wa nchi ya Uturuki . Rais wa Venezuela ni mmoja wapo wa watu waliokula kwenye mgahawa huo unaosifika kwa nyama tamu za mbuzi pamoja na manjonjo ya mmiliki wake.

Pitia Link
Avertissement de redirection

Screenshot_20190107-212026_Instagram.jpg
 
Inawezekana wewe hujui utakula nini leo, lakinimwenzako Franck Ribery msukuma ndinga wa timu ya Bayern Munich ameonekana akila nyama iliyopakwa dhahabu (gold coated meat) kwenye mgahawa maarufu huko Dubai.

Siku za karibuni wachezaji mbalimbali waneonekana wakila nyama za kuchoma kwenye huo mgahawa unaomilikiwa na bwana mmoja raia wa nchi za falme za kiarabu. Rais wa Venezuela ni mmoja wapo wa watu waliokula kwenye mgahawa huo unaosifika kwa nyama tamu za mbuzi pamoja na manjonjo ya mmiliki wake.View attachment 988910
Hakuna cha dhababu wala Almasi hapo ni manjonjo tu jikoni kujua kudisaini chakula hapo wamepaka bizali ya njano, wame mix aina ya bizali jikoni tu
IMG_20190107_224252.jpg
 
Mnatakatisha dhahabu mliyojikamatisha nayo pale mwanza na mbuzi mlizokodia ndege ya dripulaana kutoka mwanza au
 
Inawezekana wewe hujui utakula nini leo, lakinimwenzako Franck Ribery msukuma ndinga wa timu ya Bayern Munich ameonekana akila nyama iliyopakwa dhahabu (gold coated meat) kwenye mgahawa maarufu huko Dubai.

Siku za karibuni wachezaji mbalimbali waneonekana wakila nyama za kuchoma kwenye huo mgahawa unaomilikiwa na bwana mmoja raia wa nchi za falme za kiarabu. Rais wa Venezuela ni mmoja wapo wa watu waliokula kwenye mgahawa huo unaosifika kwa nyama tamu za mbuzi pamoja na manjonjo ya mmiliki wake.View attachment 988910
acha kuongopea watu wewe
 
Kwamba nyama imepakwaa Dhahabuu????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi wabongo nin shidaa lakinii yani kila Cha njano ni dhahabuuu...
Wazungu hawana ulimbukeni wa hivyo hasa kwenye suala la Afyaa zaooo... Unajua athari ya Metal kama dhahabu mwilini wewe??? Saa nyingine ficha Ujinga wakooo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Back
Top Bottom