Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
Walipanda first class walikuwa karibu na derevaOooh hawa mbuzi washafika Dubai kumbe?
Walipanda first class walikuwa karibu na dereva
Hakuna cha dhababu wala Almasi hapo ni manjonjo tu jikoni kujua kudisaini chakula hapo wamepaka bizali ya njano, wame mix aina ya bizali jikoni tuInawezekana wewe hujui utakula nini leo, lakinimwenzako Franck Ribery msukuma ndinga wa timu ya Bayern Munich ameonekana akila nyama iliyopakwa dhahabu (gold coated meat) kwenye mgahawa maarufu huko Dubai.
Siku za karibuni wachezaji mbalimbali waneonekana wakila nyama za kuchoma kwenye huo mgahawa unaomilikiwa na bwana mmoja raia wa nchi za falme za kiarabu. Rais wa Venezuela ni mmoja wapo wa watu waliokula kwenye mgahawa huo unaosifika kwa nyama tamu za mbuzi pamoja na manjonjo ya mmiliki wake.View attachment 988910
🤣🤣🤣Hao kuku bora watoke huku kwetu maana nyama zao ni mbaya uwiii bora tembele letu la Tanzania.
Dhahabu ni madini ambayo hayawezi kureact kwenye mwili, haina madhara yoyote na ukiila hai haichukuluwi kwenda kwenye damu, unaitoa kwenye choo
Vyote vya kwetu...hapo chao ni pesa tu
Sio binzari..dhahabu hiyo...Ni madini ambayo hayareact ndio maana hata watu wamekuwa wakitumia kama ornaments kwenye kinywaKwa hiyo wanakula dhahabu au binzari ya dhahabu....?
acha kuongopea watu weweInawezekana wewe hujui utakula nini leo, lakinimwenzako Franck Ribery msukuma ndinga wa timu ya Bayern Munich ameonekana akila nyama iliyopakwa dhahabu (gold coated meat) kwenye mgahawa maarufu huko Dubai.
Siku za karibuni wachezaji mbalimbali waneonekana wakila nyama za kuchoma kwenye huo mgahawa unaomilikiwa na bwana mmoja raia wa nchi za falme za kiarabu. Rais wa Venezuela ni mmoja wapo wa watu waliokula kwenye mgahawa huo unaosifika kwa nyama tamu za mbuzi pamoja na manjonjo ya mmiliki wake.View attachment 988910
Nakuongeza kwenye kundiacha kuongopea watu wewe