Hii ni kwa ajiri yako mfanyabiashara

Hii ni kwa ajiri yako mfanyabiashara

CONFIRM

Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
24
Reaction score
1
Husika na kichwa cha habari hapo juu, tunatoa huduma ya kuweka na kukuelekeza kutumia tally erp software kuanzia biashara binafsi, miradi, maduka na kampuni ndogo mpaka kubwa kwa bei ndogo kabisa.

Tally ni nini hasa? Hii ni software yenye uwezo kufanya “management” ya “stock/inventory” za biashara yoyote ile kuanzia maduka, pharmacy, mafuta, mifugo ,computer , na vifaa vyake (computer accessories) vifaa vya ujenzi n.k na kukupa report haraka sana kwa kipindi chochote unachohitaji. Mfano bei ya kununua/kuuza, stock kiasi gani imebaki/imeuzwa na dhamani yae mda wowote

Ina uwezo mkubwa wa kufanya management ya vitabu vya mahesabu ya biashara (financial statements ) mahesabu ya kila siku kama mauzo, matumizi n.k kwa ufanisi mkubwa sana

Ni mojawapo ya software nyepesi kabisa kutumia hata ukitaka kutumia lugha unayotaka unaweza pia. Imewasaidia wengi sana pia wanafunzi wanaohitaji kujiendeleza wanakaribishwa
Bei zetu ni za kawaida sana tunaelewana kulingana na kazi yenyewe
Tupo dar es salaam na kwa walioko mikoani tutakufikia bila wasi wasi . maelezo Zaidi ni PM au tupigie kupitia namba hii 0786-733-465
 
Back
Top Bottom