Mbona kwangu mimi ni kinyume chake anazira mwanaume!!:redface:Jamani naomba mnipe uzoefu wenu akina dada hasa kwa wale wenye hii tabia ya kuzira kuongea na wenzi wenu na kusitisha huduma zote wakati mwingine bila taarifa. Yaani bila hata ya mhusika kujua hasa chanzo cha hivyo vikwazo vya kimahusiano.
Hivi huwa mnapata faida gani au kuna satisfaction gani mnayopata kwa kuamua kuzira kuongea, kula, kutoa huduma nyeti na wakati mwingine kupika?
Poleni kwa wale mtakaokwazika kwa hili swali.
Mbona kwangu mimi ni kinyume chake anazira mwanaume!!:redface:
ana miaka 37mimi49 itabidi tuanzishe na thread kwa ajili ya wanaume wa aina hiyo. Huyo jamaa yako ana umri gani vile?
kuzira ni kama kususa!!kuzira ndio nini? ni kiswahili hiki?
kuzira ndio nini? ni kiswahili hiki?
Mbona akina dada wengine wameelewa. Inawezekana wewe ama huna hiyo tabia au ni mvamizi tu. Kwa ufupi neno kuzira hapa limetumika kumaanisha kususia jambo lolote. Watoto wadogo wanayo sana hii tabia ya kususia mambo hasa wanapoudhika na neno lolote. Kwa watoto neno la kimombo linalotumika kuelezea tabia hii ni "to throw tantrums" kama sikosei.
nakwambia ukimpata wa kumdekea, halafu anajua kabisa anatakiwa akubembeleze na ka zawadi, uwiiiiiiiiiiiiiii! ni tamuje jamani second chance yoyote??? hamu haiishi kwenye penzi. bembeleza kaka, usiwe na roho ya kauzu! lol
hahaha hakuna cha menopause bali ni tabia na hulka yake!!kwa umri huo wa 37years ni hormonal changes anelekea kwenye menopause kaka
so takecare.