Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
hii inawahusu wanaume mabachela ambao wanapambana ila pesa ni kikwazo, linapokuja swala la mahari jamii nyingi za Tanzania hazina mchezo kabsa kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa.
Utalia upunguziwe may be watokomea 3m bado kununua vitu vidogo vidogo vya wazee, hii pesa ni nyingi kwa wapambanaji ambao ndo kwanza wanajijenga kiuchumi. Sasa we fanya ivi uyo bint uliye nae na unampenda serious mpe mimba, lea hio mimba automatically akifika miezi 8 ataenda kujifungulia kwao
Akishajifungua anza process za ndoa. nenda kwao mahari watasema kubwa lakini we kubali la waambie una kiasi fulani unachomudu, automatically watakubalii tu kwa sababu hawana option nyingine.
Chukua mke wako ishi nae kwa amani
GONGA GONGA KICHWA SEMA AKILI AKILI MTU WANGU