Hii ni kwa usalama au ni mbwembwe?

Hii ni kwa usalama au ni mbwembwe?

Accidental Genius

Senior Member
Joined
Aug 17, 2019
Posts
154
Reaction score
188
Hivi mtu mmoja anajiwekea ulinzi kama huu kweli, inamaana gani?

Ni kwa ajili ya usalama au ni mbwembwe na kulewa umaarufu?

Nakukubali sana Domo ila hapa sikuungi mkono....sawa sawa na Harmonize aliyeenda Msibani na Mabodigadi na brich juu,siti ya kwenye party kavaa msibani...

FB_IMG_15662231122114321.jpeg
 
Mimi huwa nafurahi Sana nikiona mtu ana walinzi wengi awe kiongozi,mwanamuziki nk sababu kubwa Ni kuwa ka create ajira.Hao hawamzunguki bure wanalipwa .Kaongeza kipato Chao na hela kwenye mzunguko.Wakitoka hapo fresh mfuko umetuna hela.
 
Hivi mtu mmoja anajiwekea ulinzi kama huu kweli, inamaana gani?

Ni kwa ajili ya usalama au ni mbwembwe na kulewa umaarufu?

Nakukubali sana Domo ila hapa sikuungi mkono....sawa sawa na Harmonize aliyeenda Msibani na Mabodigadi na brich juu,siti ya kwenye party kavaa msibani...

View attachment 1185376
Shikamoo shekeli
 
Uzio wa umeme, mlinzi wa kimasai, mbwa mkali, tunguli na silaha za kisasa. Hakika hazifai kitu Bwana amtumapo mjumbe kuchukua roho yako....
"Just singing.."
Zote hizo ajira watu wanaongeza kipato mwenye uzio wa umeme anapata riziki,Masai anapata riziki,mtoa tunguli anapata riziki,muuza silaha na mlinzi mwenye silaha anapata riziki.Pesa Yake SI unaona inavyofaidisha watu wengi Hadi huyo mbwa mkali naye anapata riziki Yake.Angalia riziki alivyomwaga.Tusiwe negative tu kwa kila kitu.Hao wanaopata riziki ujue Wana familia Hivyo midomo kibao inapata kula hapo
 
Hivi mtu mmoja anajiwekea ulinzi kama huu kweli, inamaana gani?

Ni kwa ajili ya usalama au ni mbwembwe na kulewa umaarufu?

Nakukubali sana Domo ila hapa sikuungi mkono....sawa sawa na Harmonize aliyeenda Msibani na Mabodigadi na brich juu,siti ya kwenye party kavaa msibani...

View attachment 1185376
Hao jamaa wanaendesha familia zao kupitia huyo mwanamziki, aweke hata kumi ikiwezekana.
 
Back
Top Bottom