Accidental Genius
Senior Member
- Aug 17, 2019
- 154
- 188
Hahaaaa! ahsante, ni kweli, lakini katupa akili ya kudhibiti yale yaliyo ndani ya uwezo wetuZirael akiamua kufanya yake,hakuna wa kumzuia.
Bora afanye israel ila sio binadamu...Hela ikiwepo hayo ndio matumizi sasaZirael akiamua kufanya yake,hakuna wa kumzuia.
Shikamoo shekeliHivi mtu mmoja anajiwekea ulinzi kama huu kweli, inamaana gani?
Ni kwa ajili ya usalama au ni mbwembwe na kulewa umaarufu?
Nakukubali sana Domo ila hapa sikuungi mkono....sawa sawa na Harmonize aliyeenda Msibani na Mabodigadi na brich juu,siti ya kwenye party kavaa msibani...
View attachment 1185376
Alikua Rwanda ndugu.Nadhani hapo yuko Burundi kwenye hii ziara ya juzi
Hahah Mungu hataki bugudha kwa wanaotaka kuomba msamaha siku za mwisho.Mungu mwenyewe kiti chake kimezungukwa na makerubi, jiulize Mungu ana haja ya kulindwa? Vipi kwa binadamu?
Zote hizo ajira watu wanaongeza kipato mwenye uzio wa umeme anapata riziki,Masai anapata riziki,mtoa tunguli anapata riziki,muuza silaha na mlinzi mwenye silaha anapata riziki.Pesa Yake SI unaona inavyofaidisha watu wengi Hadi huyo mbwa mkali naye anapata riziki Yake.Angalia riziki alivyomwaga.Tusiwe negative tu kwa kila kitu.Hao wanaopata riziki ujue Wana familia Hivyo midomo kibao inapata kula hapoUzio wa umeme, mlinzi wa kimasai, mbwa mkali, tunguli na silaha za kisasa. Hakika hazifai kitu Bwana amtumapo mjumbe kuchukua roho yako....
"Just singing.."
Alikuwa hawalipi? SI anawalipa wacha wapate riziki yao.Hata JI baada ya kuvuma na kidato kimoja akawa anazurura na mabodyguard 6...hizo mbwembwe tu!!
Hao jamaa wanaendesha familia zao kupitia huyo mwanamziki, aweke hata kumi ikiwezekana.Hivi mtu mmoja anajiwekea ulinzi kama huu kweli, inamaana gani?
Ni kwa ajili ya usalama au ni mbwembwe na kulewa umaarufu?
Nakukubali sana Domo ila hapa sikuungi mkono....sawa sawa na Harmonize aliyeenda Msibani na Mabodigadi na brich juu,siti ya kwenye party kavaa msibani...
View attachment 1185376