Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
mie nlikataliwa kwa lugha kali sana baada ya kuenekana mvaa misuli / kanzu na makubazi, kitambo chake baada ya kuonekana nasukuma ndinga sa ivi napigiwa simu sio mie tena kuhangaika..wanawake wa kibongo wako vere stratejiki!bora ww umeulizwa elimu, mwenzako niliulizwa nina kiasi gani benki?? Wakati me naunga unga pesa zenyewe kwene M-pesa
Wanachekesha kweli! Yaani ye hapo keshamsarandia wee mpaka kajiridhisha, ila hataki mdada nae ajiaminishe kwa kile aonacho chamfaa!
mie nlikataliwa kwa lugha kali sana baada ya kuenekana mvaa misuli / kanzu na makubazi, kitambo chake baada ya kuonekana nasukuma ndinga sa ivi napigiwa simu sio mie tena kuhangaika..wanawake wa kibongo wako vere stratejiki!
ujanja ni kuwasapraizi na kuwatumilia tu..
anaangaza potential ya yeye kuishi maisha mazuri akija kua na wewe, kaa huna elimu manake huna pesa!
sa ivi policy yangu ni kukamua chochote kinachovaa sketi/gauni provided kinalipa, lakini kwa staili kuegesha zaidi..haibiwi mtu.Kwa hyo sasa hvi unahangaika na wenye ngozi nyeupe?
mapenzi yanahusiana vipi na pesa? inabidi mjifunze kuchagua kimoja.Na yanini kuhangaika na mwanaume asiye na pesa wala mapenzi ya dhati?
mamito mbona unagawa za uso?
umeamkaje dada Kipipi? mbona hutaki kunitafutia wifi? upweke unanitesa.Unajua nyie wakaka baadhi yenu huwa mnashangaza sana! Mkiwa mnatafuta nyie mwaweka vigezo kibao, wengine utawasikia ooh mara awe na hips.....mara awe na elimu at least kuanzia level flani. Ila nyie mkiulizwa mnaona kama mmedharauliwa? Khaa!!!
namshtua tu kijana, kama vipi ajiunge elimu ya watu wazima mapeeeeeeemaaaaa
mapenzi yanahusiana vipi na pesa? inabidi mjifunze kuchagua kimoja.
Mhmmm!!! haya mama yaishe...mie siwezi kubishana na wewe...Kama nimekukosea nisamehe.
Kaka una elimu gani?
Ulivyo mkavu waitikia haswaa shkamoo ya mzee! Nway asante bwana nauguza!
umeamkaje dada Kipipi? mbona hutaki kunitafutia wifi? upweke unanitesa.
Wape Dozi yao Kipipi,
Wameweka Mfumo dume mbele.
Ebu nioneshe uzee wako dhidi yangu ni upi? Btw, uguza pole!
sa ivi policy yangu ni kukamua chochote kinachovaa sketi/gauni provided kinalipa, lakini kwa staili kuegesha zaidi..haibiwi mtu.
mapenzi yanahusiana vipi na pesa? inabidi mjifunze kuchagua kimoja.
Nilikuwepo Aman Stadium Zanzibar siku ASP na TANU zinavunjika na CCM inatake over i was 8th !
Wewe ulikuwepo ? Mayb hata wedding ya Maa ilikua bado!
kuna kinadada wengine wanakela kwel kweli mimi nakubembeleza unikubalie ombi langu alafu we unaniuliza elimu yangu inamaa mi nimekuja kukuomba kazi au? Hii ilinitokea juzi