tatizo hivi vitu huwaga hapewagi mtu mmoja.. ndo mana mwatakiwa mjiulize 'tupo wangapi"??
hata mie nkiwa na hela lazima niwapange sana maana sinajua hamna mapenzi ya kweli, mnafata faranga zangu?? kwa hiyo ni trade-off tu.
It is precisely because nimeshindwa kuyanongeleabaada ya kuusoma unaeza kuusimulia umma huu??lol
mi ndo maana uwa nawadanganya mi darasa la nne ila nna hela km mchanga, afu tuone km atakataa, uwa naishia kucheka tuui