hahahaha. Simple tu basi wasiliana naye umuulize bei za vitanda. Kama atakwambia bei tofauti na hiyo nilokwambia mimi nitakutafutia wanapouza pungufu zaidi couse mimi najua kila chocho ya kijiji ambacho mafundi huwa wanatuletea vitanda, meza na vitu vingine kwa bei ndogo kabisa na mzigo wanakufikishia home. Kuhusu huyo demu hapana kama nimiaka hiyo sikuwa kigoma nilikuwa Kibeho Rwanda kusoma.