Hii ni kwa walaji wa nyama choma mitaani (mnalishwa nyama za nyoka/kenge wa kichina)

Hivi hawa viumbe hawana sumu?
Da! jamaa anachinya kama chicken!!
 
Umenikumbusha sana utamu wa kenge,zinapatikana wapi hizo nikajinome?
 
dah! hiyo mbona iko mwake kabisa mazee. hapo amekosekana mamba na kobe tu....minyama ni mitamu hiyo acha kabisa...
 
kwa kweli maswala ya kula hua ni imani ya kumwamini tu mpishi lakini unacho kula hujui kwa kweli lakini ndio kama hivyo tunavyo ona.
 
Siku niliyokula nyama ya mamba ilibidi niwe bwii sana, lakn kesho yake mwenyewe nikaenda weka order kwa jinsi ilivyo tamu!
 


Utasababisha watu wasile nyama mwezi mzima nikiwapo mwenye loh!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…