JIMMY JORAM
Member
- May 1, 2013
- 38
- 20
Naomba msaada wa majibu kuhusu hili swali! "Ufanano kati ya fonetiki na fonolojia."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni Kiswahili mkuu! wanaosomea Kiswahili vyuoni husoma 'kwa Kiswahili', hawasomi 'kiswahili'hicho ni Kiswahili au Eng/Swahili ?
Lilendi ubuheri mkuu; Ahsant kunijuza, still sijakuelewa.... kama siusumbufu kwako iwe lugha simple wengi tuchangie!! Best of luck.ni Kiswahili mkuu! wanaosomea Kiswahili vyuoni husoma 'kwa Kiswahili', hawasomi 'kiswahili'
Lilendi ubuheri mkuu; Ahsant kunijuza, still sijakuelewa.... kama siusumbufu kwako iwe lugha simple wengi tuchangie!! Best of luck.
Indeed; lugha change na lugha kongwe zinaburuzwa kuchambuliwa na lugha ya kiSayansi ambayo ndiyo endelevu!! au siyo? Ok principal za Sayansi, Madamu misingi ya elimu za juu na vigezo vinaeleweka kilugha stahiki. Nitajifunza kwa makini lugha siku baada ya siku... Ubarikiwe MkuuMi bukheri kabisa! usijali. ni hivi, lugha ni sayansi na hii sayansi haichagui lugha. sayansi inayotumika kuiangalia lugha ya kiingereza ndo inayotumika kuziangalia lugha zingine. kupitia sayansi hii unaweza kujua tofauti zilizopo kati ya lugha moja na nyingine katika Nyanja mbalimbali; ikiwemo isimu. hata lugha mama yako inaweza kuchunguzwa kisayansi pia tukaona ulingano wa Kiswahili na lugha yako(kama lugha mama yako sio Kiswahili) ninaposema wanasoma kwa Kiswahili ni kwamba wanatumia kanuni za sayansi ya lugha kukichambua Kiswahili kwenye matawi mbalimbali ya lugha. hata fasihi inasomwa kwa Kiswahili. dhana zilizomo kwenye fasihi zinaweza tolewa kwa Kiswahili, kiingereza, kichina, n.k kama nimekuchanganya pole ndg huenda nikawa bora mwalimu. karibu kwa ufafanuzi zaidi.
Indeed; lugha change na lugha kongwe zinaburuzwa kuchambuliwa na lugha ya kiSayansi ambayo ndiyo endelevu!! au siyo? Ok principal za Sayansi, Madamu misingi ya elimu za juu na vigezo vinaeleweka kilugha stahiki. Nitajifunza kwa makini lugha siku baada ya siku... Ubarikiwe Mkuu