KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Jamani naomba tufahamishane labda mimi huwa nafanya makosa. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume walioko ndani ya ndoa ni nani anayepaswa kumwambia mwenzake kuwa nahitaji kufanya tendo la ndoa? Maana siku zote mimi huwa ndiye ninayemwambia mke wangu kuwa nina hamu na tendo la ndoa.Sasa huwa nabaki nikijiuliza au huwa namkwaza mwenzangu,au huwa anaogopa kuniambia?,au huwa hana hamu na mimi? Au huwa hataki tuu. Tafadhali naomba tufahamishane.
Raha sana kuombana! leo wewe, kesho yeye...................I feel your pain!
Aisee pole sana, ebu na wewe jaribu kumchunia kama wiki mbili hv halafu umwone.
jamani naomba tufahamishane labda mimi huwa nafanya makosa. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume walioko ndani ya ndoa ni nani anayepaswa kumwambia mwenzake kuwa nahitaji kufanya tendo la ndoa? Maana siku zote mimi huwa ndiye ninayemwambia mke wangu kuwa nina hamu na tendo la ndoa.sasa huwa nabaki nikijiuliza au huwa namkwaza mwenzangu,au huwa anaogopa kuniambia?,au huwa hana hamu na mimi? Au huwa hataki tuu. Tafadhali naomba tufahamishane.
Jamani naomba tufahamishane labda mimi huwa nafanya makosa. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume walioko ndani ya ndoa ni nani anayepaswa kumwambia mwenzake kuwa nahitaji kufanya tendo la ndoa? Maana siku zote mimi huwa ndiye ninayemwambia mke wangu kuwa nina hamu na tendo la ndoa.Sasa huwa nabaki nikijiuliza au huwa namkwaza mwenzangu,au huwa anaogopa kuniambia?,au huwa hana hamu na mimi? Au huwa hataki tuu. Tafadhali naomba tufahamishane.
Ni yeyote aliye na hamu,..halafu acha tabia za kibaguzi_eti kwa wanandoa tu kwani sisi single hayo mambo hatujui...unaona sasa mm single na nimetoa best ushauri kuliko hata badili tabia,bacha.mamdenyi,mzee wa rula,maskni jeuri,f/b etc walio oa.....tupe heshima yetu banaJamani naomba tufahamishane labda mimi huwa nafanya makosa. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume walioko ndani ya ndoa ni nani anayepaswa kumwambia mwenzake kuwa nahitaji kufanya tendo la ndoa? Maana siku zote mimi huwa ndiye ninayemwambia mke wangu kuwa nina hamu na tendo la ndoa.Sasa huwa nabaki nikijiuliza au huwa namkwaza mwenzangu,au huwa anaogopa kuniambia?,au huwa hana hamu na mimi? Au huwa hataki tuu. Tafadhali naomba tufahamishane.
Jamani naomba tufahamishane labda mimi huwa nafanya makosa. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume walioko ndani ya ndoa ni nani anayepaswa kumwambia mwenzake kuwa nahitaji kufanya tendo la ndoa? Maana siku zote mimi huwa ndiye ninayemwambia mke wangu kuwa nina hamu na tendo la ndoa.Sasa huwa nabaki nikijiuliza au huwa namkwaza mwenzangu,au huwa anaogopa kuniambia?,au huwa hana hamu na mimi? Au huwa hataki tuu. Tafadhali naomba tufahamishane.
kwanza na weye lazima tukushangae kidogo,........................
yaani ukihitaji hiyo huduma ni mpaka uombe permit?yaani mpaka umuulize au sio..................
sidhani kama upo sawa hapo................................
haya mambo yanaenda kidigitali tu mshiki..................ni matendo pasipo kuongea...............
ukiona umeshikwa hapa, umeguswa pale....mkono umekuja huku!vinguo vya utatanishi...................basi ndo ujue genda eka hiyo................
Vijana mbona mwaniangusha bana............................
Ngoja aje Ashadiiii hapa nadhani atakusaidia zaidi...........
leo umeamua kutoa ushauri wa haja kweli kweli,...thanx sanaahh kungwiiiiiiiiii...bashashiiiiii bashasha...ramshadaaaaaaaa rijali wangu....wape wape ao..wafunde wafundike....!!!!!!!!
yawezekana mdau kashindwa kusoma LUGHA ZA VITENDO ZA mkewe..raman imempta kushoto...labda bibie anatumia body language...lakin jamaaa wapppppp asomi..kavalia vinguoweeeeeeee lakin wap kashindwa kusoma...yeye ANATAKA aambiwe BABA NYAMBITA TAFADHALI TUGECHANE...ahh ngumu wanawake awatumiii sentens bwana....gestures tu ..na ukishindwa kunata na bit bas imekula kwako..
labda mkeo pia anajiuliza ahh mbona mme wangu kila nkitaka anipi?..ajui km namwonyesha nataka njunju leo?
vunja ukimya laronge nae uenda yeye pia kinamuuma..kumbe we kipofu wa lugha za mafumbo
mbona hayo mambo ya kuombana ni ya kizamani pale babu na bibi walipokuwa hawashei bedroom, sasa kama mnalala kitanda kimoja na room moja kuombana kunatoka wapi? siku hizi mambo ni automatic as long as hakuna ugonvi.